ARTURO VIDAL AKIWA MAZOEZI KWA MARA YA KWANZA NA BAYERN MUNICH
Mchezaji
wa Chile kwa mara ya kwanza ameshiriki mazoezi na club yake mpya Bayern
Munich ambayo inashiriki ligi ya Bundesliga.Vidal amejiunga na club hii
akitokea Juventus na gharama iliyotumika kumfikisha Bayern ni kiasi cha
£28million.
No comments:
Post a Comment