Pages

June 5, 2015

UMOJA WA MAKANDARI WAZALENDO(ACCT)KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA KUWANOA MAFUNDI SANIFU

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha,Dk Richard Masika akizungumza katika hafla ya kusaini makubaliano ya kushirikiana na Assocition of Citizen Contractors Tanzania(ACCT)leo chuoni hapo,kushoto ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo,Milton Nyerere.Taasisi hiyo itatoa mafunzo kwa mafundi mchundo na mafundi Sanifu ili kuwawezesha Makandarasi Wazalendo kuhimili ushindani dhidi ya Makampuni ya kigeni.

Mwenyekiti wa taasisi ya ACCT,Milton Nyerere(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Masika wakisaini hati za makubaliano ambayo itatoa fursa kwa mafundi wengi kunolewa na kuweza kufanya kazi za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.

  Mwenyekiti wa taasisi ya ACCT,Milton Nyerere(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Masika wakibadishana  hati za makubaliano ambayo itatoa fursa kwa mafundi wengi kunolewa na kuweza kufanya kazi za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.

Katibu Mtendaji wa Umoja wa Makandarasi Wazalendo(ACCT)Angela Joseph akizunguza wakati wa hafla hiyo.

Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Mgaya akizungumza jambo juu ya kuwawezesha Mafundi Mchundo na Mafundi Sanifu kufanya kazi kwa ubora.Mafunzo yatatolewa katika chuo hicho.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...