Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete
wakilakiwa mara walipowasili katika hoteli ya Sun International Maslow
Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa Mkutano wa 25 wa
kawaida wa Umoja wa Afrika.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete
wakilakiwa na Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia
Simba mara walipowasili katika hoteli ya Sun International Maslow Hotel,
Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano
wa 25 wa kawaida wa Umoja wa Afrika.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete
wakilakiwa na maofisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini mara
walipowasili katika hoteli ya Sun International Maslow Hotel, Sandton,
Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 25 wa
kawaida wa Umoja wa Afrika.(PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment