Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha kupokelea mafuta
cha Kampuni ya GBP, wakati alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea
Jeti ya kupokelea mafuta na Bohari ya kuhifadhia mafuta ya kampuni hiyo,
wakati alipokuwa katika ziara yake ya siku moja mkoani Tanga jana Juni
5, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiondoka katika eneo hilo baada ya kukagua kituo hicho cha kupokelea
mafuta cha Kampuni ya GBP, mkoani Tanga jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongoizana na baadhi ya viongozi wa Kampuni ya GBP, wakati akielekea
kukagua Bohari ya kuhifadhia mafuta ya Kampuni ya GBP, alipokuwa katika
ziara yake ya siku moja mkoani Tanga jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya GBP, Badar Seif
Sood, (wa pili kulia) wakati alipotembelea Bohari ya kuhifadhia mafuta
ya kampuni hiyo, kwenye ziara yake ya siku moja mkoani Tanga jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiondoka katika eneo hilo, akiongozana na Mkurugenzi wa ya GBP,
Badar Seif Sood (kushoto), Waziri wa Mazingira wa Ofisi ya Makamu wa
Rais, Dkt. Binilith Mahenge na baadhi ya viongozi, baada ya ukaguzi wa
Bohari ya kuhifadhia mafuta ya Kampuni ya GBP, mkoani Tanga jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mkurugenzi wa Kampuni ya GBP, Badar Seif Sood, baada ya
kumaliza ziara yake ya kukagua Bohari ya kuhifadhia mafuta ya kampuni
hiyo, jana mkoani Tanga. Picha na OMR

Post a Comment