Pages

June 15, 2015

BRAZIL WAICHAPA PERU COPA AMERICA,NEYMER ATUPIA

TIMU ya taifa ya Brazil imeanza vyema michuano ya mataifa ya America kusini (Copa America) baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya timu ya taifa ya Peru katika mechi ya ufunguzi ya kundi C iliyopigwa nchini Chile usiku wa kuamkia leo.
Neymar splits the Peru defence with a pin-point pass to the unmarked Costa on the edge of the box 
Mapema dakika ya 3' Peru waliandika goli la kuongoza kupitia kwa Christian Cueva, lakini dakika mbili baadaye, mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akaisawazishia Brazil goli hilo.
Brazil midfielder Douglas Costa leaps into the arms of his team-mates following his late winner against Peru 
Dakika ya 90' ya mchezo Douglas Costa alipachika goli la pili na la ushindi kwa vijana wa Samba.
Cueva pounced on a costly error by Brazil centre back David Luiz to give Peru a precious early advantage 
Hata hivyo, Brazil walihangaishwa na Peru na wakasubiri dakika za jioni kabisa kufunga goli la ushindi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...