Benard Membe Kutangaza Nia Ya Kugombea Urais Leo Saa Sita Mchana

 


Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Bernad Membe leo anatarajia kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi ateuliwe kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Post a Comment

Previous Post Next Post