Pages

June 13, 2015

BALOZI WA NIGERIA NCHINI AAGA MAHAKAMA YA AFRIKA NA HAKI ZA BINADAMU ARUSHA

Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)Gerald Niyungeko(kushoto)akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania,Dk. Ishaya  Majanbu aliyefika katika Mahakama hiyo jijini Arusha kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Ubalozi nchini.

Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)Gerald Niyungeko(katikati)akimkabidhi zawadi mgeni wake Balozi wa Nigeria nchini Tanzania,Dk. Ishaya  Majanbu aliyefika katika Mahakama hiyo jijini Arusha kuaga uongozi wa Mahakama hiyo baada ya kumaliza muda wake wa Ubalozi nchini,anayeshuhudia kushoto ni Naibu Msajili wa Mahakama hiyo,Nouhou Diallo.

Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)Gerald Niyungeko(katikati)akizungumza na wageni wake,kushoto ni wafanyanyakazi wa Mahakama hiyo .

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...