Pages

May 6, 2015

Wanajeshi Wawili wa Tanzania Wauawa Katika Shambulio la Kushtukiza, 13 Wajeruhiwa.......Wanne Hawajulikani Walipo


Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi cha usalama cha MONUSCO  huko Congo, wameuawa hapo jana baada kushambuliwa na watu wenye silaha huko Kivu ya Mashariki.
Katika  shambulizi  hilo, wanajeshi 13  wamejeruhiwa  na  waasi  hao  huku  wanajeshi  wanne  wakiwa  hawajulikani  walipo.
Msemaji  wa MONUSCO, Felix Basse  amevieleza  vyombo  vya  habari  kuwa  shambulizi  hilo  la  kushtukiza  limefanywa  na  waasi  hao  ikiwa  ni  siku moja  kupita  baada  ya  jeshi  la  Congo  kuwau  waasi  16  wa  ADF

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...