Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akizungumza na wananchi wa kijiji
Chawavuvi Mta wa Chaurembo uliyopo Kurasini baada ya kutokea mwekezaji
na kuwa na sinto fahamu ya muda mrefu na kupelekea wananchi kufanya
maandamano ya amani hadi Ofisi za Serikali ya Mta huo na kumlazimu
Mbunge kuingilia kati mgogoro huo Dar es Salaam leo (PICHA ZOTE NA
KHAMISI MUSSA)
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akipitia moja ya mkataba
waliyoandikiwa wananchi hao na mwekezaji ambayo wananchi hao
hawajaridhishwa, Muhandisi Msaidizi wa Bandari na kiongozi wa kero za
wananchi wa kijiji Chawavuvi Mta wa Chaurembo Kurasini David Mlassi
akimweleza mambo fulani mbunge huyo (kushoto)
Wananchi wa kijiji cha Wavuvi wa Mta wa Chaurembo wakimsikiliza Mbunge huyo.
Wananchi wa kijiji wa Chaurembo wakipiga makofi baada ya Mbunge huyo kuongea jambo
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Mbunge wao alipokuwa akizungumza jambo
Wananchi wakiimba na kufurahi baada ya Mbunge wa jimbo la Temeke kutatua na kusikiliza kero zao
Nifuraha kwenda mbele wakidai walikuwa hawana amani na vitisho walivyokuwa wakivipata na kutakiwa kusaini mikataba kwa vitisho
No comments:
Post a Comment