| Mhe. Membe pamoja na Mkewe Mama Dorcas Membe wakipata maelezo juu ya watoto waishio katika kituo hich kutoka kwa Sista Mary Bakhita |
| Watoto yatima wakiwa na walezi wao |
| Sehemu ya Wazee wanaolelewa na Kituo hicho wakimsikiliza Mhe. Waziri (hayupo pichani) alipowatembelea |
| Sehemu nyingine ya Wazee na Watoto |
| Mhe. Wazriri akijumuika kwa chakula cha mchana pamoja na watoto Kituoni hapo. |
| Watoto hao nao wakifurahia chakula cha mchana na Mgeni wa aliyewatembelea na kusheherekea nao Sikukuu ya Pasaka |
| Waziri Membe akitoa msaada kwenye kituo hicho |
| Waziri Membe pamoja na Mkewe Mama Dorcas Membe katika picha ya Pamoja na Masista wanaolea watoto yatima katika kituo hicho |
| Waziri Membe akisaini kitambu cha wageni alipowasili katika kituo hicho. |
| Baadhi ya Watoto wanaolelewa katika kituoni hapo wakitoa burudani mbele Waziri Membe (Hayupo pichani). |
| Waziri Membe akizungumza na Waandishi wa Habari. |
Picha na Reginald Philip

Post a Comment