Klabu ya Manchester City iko mbioni kuwanyakua nyota wa klabu ya Liverpool kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chake kufuatia matokeo mabaya msimu huu.
Baadhi ya majina ya nyota ambao klabu hiyo imepanga kuwanyakua kwa gharama yoyote ni pamoja na Mbrazil Phillipe Coutinho, nyota wa England Raheem Sterling pamoja na Jordan Henderson.
No comments:
Post a Comment