JESHI LA POLISI LAKAMATA MILIPUKO AINA YA WATER EXPLOSIVES GEL NDANI YA MSIKITINI KILOMBERO MOROGORO.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, akiwaonesha waandishi wa habari (hawaonekani pichani) milipuko hatari aina ya ' Water explosives gel ' iliyokamatwa jana usiku kutoka kwa watuhumiwa tisa waliokuwa wamehifadhiwa ndani ya msikiti wa Suni uliopo Tarafa ya Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro.CHANZO http://lukwangule.blogspot.com.

Post a Comment

Previous Post Next Post