Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi wa Kijapan, Midori Uno,machi
17, 2015 kwenye hoteli ya New Otani jijini New York , ambaye aliishi
Tanzania miaka ya 60 baada ya Uhuru wa Tanganyika akifanya kazi kwa
kujitolea. Hisasa Bibi Uno ni bingwa wa lugha ya kiswahili na
amekwishaandika Kamusi ya Kijapan na Kiswahili pamoja na vitabu kadhaa.
Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na Bibi wa Kijapan, Midori
Uno,Machi 17, 2015 kwenye hoteli ya New Otani jijini New York , ambaye
aliishi Tanzania miaka ya 60 baada ya Uhuru wa Tanganyika akifanya kazi
kwa kujitolea. Hisasa Bibi Uno ni bingwa wa lugha ya kiswahili na
amekwishaandika Kamusi ya Kijapan na Kiswahili pamoja na vitabu kadhaa.
Waziri
Mkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Wafanyabiashara wa Japan, Bw. Masahito Kawashima kabla ya kuzungumza na
ujumbe wa wawekezaji wa Kijapan kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo
Machi 17, 2015.
Waziri
Mkuu, MizengoPinda akisalimian na Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Wafanyabiashara wa Japan, Bw. Masahito Kawashima kabla ya kuzungumza na
ujumbe wa wawekezaji wa Kijapan kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo
Machi 17, 2015. Katikati ni Ofisa wa Ubalozi wa tanzania nchini Japan ,
Francis Mosongo.
Waziri
mkuu, Mizengo Pinda na mkewe wakitia saini kitabu cha wageni kwenye
ubalozi wa Tanzania uliopo Tokyo nchini Japan baada ya kuwasili
ubalozini hapo kuzungumza na Watanzania waishio Japan Machi 17, 2015.
Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Japan aliyemaliza muda wake, Salome
Sijaona na Wapili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar, Mohamed Abood Mohamed. Kushoto ni Balozi wa Tanzania
nchini Japan, Batilda Buriani na wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Mahadh Maalim.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na watoto, Neema Mosongo ( kulia) na
Stacey Kambona baada ya kuwasili kwenye ubalozi wa Tanzanianchini
Japanuliopo Tokyo kuzungumza na watanzania waishio nchini humo Machi
17, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na watoto, Petro Mosongo (kulia),
Neema Mosongo (wapili kulia) na Stacey Kambona baada ya kuwasili kwenye
ubalozi wa Tanzania jijini Tokyo kuzungumza na watanzania waishio Japan
Machi 17, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania waoishi nchini Japan.
No comments:
Post a Comment