Pages

March 13, 2015

RAIS KIKWETE AAPISHA TUME YA UTUMISHI WA UMMA

unnamed

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (Wasita kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma muda mfupi baada ya Rais kuwaapisha ikulu jijini Dar es Salaam .kutoka kushoto ni Bibi Salome Mollel(Kamishna),Bibi Evelyne Itanisa(Kamishna),Bw. Mgeni Mwalimu Ally(Kamishna),Mwenyekiti wa Tume Dkt.Stephen James Bwana, Bwana George Yambesi(Kamishna),Bwana Yahya Fadhili Mbila (Kamishna) na Bibi Adieu Nyondo (Kamishna).(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...