Afisa
Habari Mwandamizi wa Mahakama ya Afrika na Haki za
Binadamu(AfCPHR)Sukhdev Chatbar(kulia)akizungumza na Waendesha Mashtaka
kutoka Darfur nchini Sudan waliotembelea Mahakama hiyo kujifunza namna
inavyotekeleza wajibu wake.
Msajili
wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert
Enno(kushoto)akimsikiliza Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Jimbo
la Darfur,Sudan,Yassir Ahmed Mohammed.
Msajili
wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert
Enno(kushoto)akinzungumza na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya
Jimbo la Darfur,Sudan,Yassir Ahmed Mohammed na ujumbe wake.
Msajili
wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert
Enno(kushoto)akitoa machapisho ya Mahakama hiyo kwa ujumbe uliotembelea
Mahakama hiyo.
Msajili
wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert Enno(wa pili
kulia)akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe uliongozwa na Mwendesha
Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Jimbo la Darfur,Sudan,Yassir Ahmed
Mohammed.
No comments:
Post a Comment