Pages

March 24, 2015

IONTANZANIA NA KENYA WATIA SAINI MAKUBALIANO YA KUKOMESHA BIASHARA HARAMU YA MAZAO YA MISITU

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mazingira na Maliasili  nchini Kenya Richard Lusiambe(wakwanza kulia) akiongozana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu  na Nyuki nchini Tanzania Gladness Mkamba mara baada ya kutia saini makubaliano ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jana jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC .
 

Viongozi kutoka serikali ya Tanzania na Kenya pamoja na Mashirika binafsi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya  kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jana jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World WildlifeFoundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC .

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu  na Nyuki nchini Tanzania Gladness Mkamba Akifafanua jambo  baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika  jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC .Picha na Ferdinand Shayo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...