Pages

February 4, 2015

TASWIRA MBALI MBALI KATIKA KILELE CHA SIKU YA SHERIA

Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akipatiwa maelezo wakati akitembelea mabanda ya maonyesho ya kisheria katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.Katikati ni Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda.
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman na Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda wakiimba wimbo wa taifa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman,Waziri wa Katiba na Sheria,Dkt. Asha-Rose Migiro pamoja na Jaji Mkuu wa Zanzibar,Mh. Omar Othman Makungu wakiimba wimbo wa taifa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI

Sehemu ya Majaji.
Sehemu ya Majaji wastaafu wakishiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Sehemu ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliohudhulia.

Sehemu ya Wanasheria

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...