Pages

February 16, 2015

MBOWE AITOA KASORO SERIKALI JUU YA UTARATIBU WA DAFTARI LA WAPIGA KURA......


Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwasili katika Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha,kulia ni Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Natse.

  

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwa katika  Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha kushoto ni Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Natse,Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salimu Mwalimu Salimu (wapili kulia)na Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa. .Picha na Ferdinand Shayo
  

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwa katika  Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha kushoto ni Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Natse,Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salimu Mwalimu Salimu (wapili kulia)na Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa


Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akihutubia  Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha.
 
Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini wakifuatilia kwa makini Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha.Picha zote na Ferdinand Shayo.


Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akifafanua jambo juu ya daftari la kudumu la wapiga kura katika Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha hivi karibuni


  

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...