Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akihutubia Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha. |
Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini wakifuatilia kwa makini Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha.Picha zote na Ferdinand Shayo. |
No comments:
Post a Comment