Pages

January 9, 2015

TWAWEZA YAMUAGA RAKESH RAJAN JIJINI DAR


Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza (aliemaliza muda wake), Rakesh Rajani (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe (katikati) pamoja na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (Mstaafu),Ludovick Utouh wakati wa hafla fupi iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
 Rais wa TUCTA,Grasian Mukoba akizngumza machache wakati wa hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.

Ankal na wadau pia walihudhulia hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza (aliemaliza muda wake), Rakesh Rajani akiwa amejumuika na wadau wengine kwenye hafla ya kumuaga iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Wadau mbali mbali kwenye hafla hiyo.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...