Pages

January 14, 2015

SERIKALI YASAINI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA WA KUTOA MAJI KUTOKA MTO RUVUMA HADI MTWARA


unnamedKatibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akiwa na Rais wa Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo wakisaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing, China tarehe 10 Januari 2015. nyuma ya Katibu Mkuu (aliyesimama) ni Waziri wa Maji Mheshimiwa Prof. Jumanne Abdallah Maghembe (Mb).
unnamed2Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akipeana mikono na Rais wa Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo baada ya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing, China tarehe 10 Januari 2015.unnamed3Mheshimiwa Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Abdallah Maghembe (Mb) akipeana mikono na Rais wa Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo baada ya saini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing, China tarehe 10 Januari 2015. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mbogo Futakamba.

No comments:

Post a Comment