Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Emil Malinzi wa
pili kutoka (kushoto) akiongozana na Baadhi ya Viongozi wa Mpira hapa nchini alipowasili katika Uwanja wa Kaitaba
unaokarabatiwa kuwekwa Nyasi za Bandia. Bw. Jamal Emil Malinzi pia ndie
Mwenyekiti wa chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA)

Post a Comment