Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za
kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam
Jumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga
taifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue,
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam, Mhe Said Meck Sadick.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samuel Ndomba Mhe alipowasili
kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini
Dar es salaam Jumamosi Januari 10, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari
kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini
Dar es salaam Jumamosi Januari 10, 2015.
Sehemu nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi
zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam Jumamosi Januari 10, 2015
Wasanii wa Kikundi cha utamaduni cha JWTZ kikitumbuiza wakati wa
sherehe za uzinduzi wa nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi
zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam Jumamosi Januari 10, 2015.
Sehemu nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi
zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam Jumamosi Januari 10, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua
pazia kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na
Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis
Mwamunyange Gongo la Mboto jijini Dar es salaam Jumamosi Januari 10, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua
nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam Jumamosi Januari 10, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa mradi huo wa
nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es
salaam Jumamosi Januari 10, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na baadhi ya wanajeshi baada ya kuzindua nyumba za
kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam
Jumamosi Januari 10, 2015.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment