Pages

January 10, 2015

Hali si shwari White House… Ni kuhusu ile SELFIE ya Malia Obama iliyovuja!

#Selfie neno la Kimataifa kwa Mwaka 2013, hiyo ilikuwa majibu ya kazi ya Oxford Dictionaries.
Tangu kumekuwa na mtandao wa Instagram, nimegundua kwamba mtandao huo umekuwa na nguvu zaidi kuipita mitandao mingine ya kijamii ambayo ilitangulia kuwepo kama Facebook na Twitter, tunayaona mengi Instagram, ndiko ambako tuliona pia ile ishu ya kuvuja kwa Selfie ya Malia Obama akiwa amevaa Tshirt ya Kundi la washkaji wanaofanya Hiphop Marekani, Pro Era.
Bado hali si shwari, washkaji wa Kundi hilo walipost picha ya Malia akiwa amevaa Tshirt hiyo kwenye ukurasa wao Instagram, halafu wakaandika ujumbe wa kufanya promo ili watu wakanunue Tshirt zao; “Malia Obama rocking that classic Pro Era tee! | Make sure you get your official Pro Era gear from theproera.com!“–

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...