VIONGOZI WA KUNDI LA PANYA ROADI BAADA YA KUKAMATWA NA JESHI LA POLISI HUKO TANDALE, WATU HAWA NDIO VINARA WALIOSABABISHA JIJI KUTOKALIKA KWA MASAA KADHAA |
NA KAROLI VINSENT
TAARIFA
ambazo zimetufikia mda huu zinasema Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar
Es Salaam limewakamata jumla ya mbwa mwitu 510 ikiwa ni harakati za
kufichua kundi hio kubwa na Panya road waliotikisa jiji La Dareslaam
mapema hivi karibuni
Akizungumza
na waandishi wa habari ofisini kwake, kamanda wa polisi kanda maalum ya
Dareslaam amesema tayari jeshi hilo pia limefanikiwa kuwakamata
viongozi muhimu wa kundi hilo ambao mara kibao wameonekana kusadia
kufanyika kwa vurugu hizo,
Habari kamili itakujia hivi punde endelea kufuatilia mtandao huu
No comments:
Post a Comment