Pages

January 3, 2015

BREAKING NEWS , BREAKING NEWS WAGONJWA WATOROKA HOSPITALI




Majeruhi wanne  wa Simba  huko Olasiti,Kata ya Minjingu,wilaya ya Babati jirani na Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ,Manyara wametoroka hospitalini usiku wa kuamkia leo  wakihofia kukamatwa na vyombo vya dola.

Wagonjwa walikua wamelazwa katika hospitali ya wilaya Monduli mkoa wa Arusha.

Inadaiwa usiku wa kuamkia mwaka mpya kundi kubwa la wananchi katika Kijiji hicho waliwaua Simba Sita(6)waliovamia Kijiji chao kwa lengo la kula mifugo yao.

No comments:

Post a Comment