Pages

December 6, 2014

WAZIRI MWAKYEMBE AWAPONGEZA FASTJET KWA HUDUMA NZURI KWA WATEJA.

vvvvv3Ofisa wa Mahusiano na Masoko wa kampuni ya ndege ya FastJet Lucy Mbogoro akitoa maelezo kwa ujumbe kwa Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe na ujumbe wake wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba.
vvvvv6
Wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya Fast Jet wakiwa kwenye picha ya pamoja

vvvvvv2
Wafanyakazi wa kampuni ya FastJet wakipita mbele ya mgeni rasmi ambae ni Waziri wa Uchukuzi Mh.Harrison Mwakyembe wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani
vvvvvv4
Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakzi wa kampuni ya ndege ya FastJet wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani ambapo aliipongeza kampuni hiyo kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwa wasafiri pembeni yake ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba.
vvvvvv5
Meneja Biashara wa FastJet, Jean Uku akitoa maelekezo kwa Waziri wa Uchukuzi HarrisonMwakyembe kuhusiana na utendaji kazi wa kampuni hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani pembeni ya Mwakyembe ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba.
vvvvvvvvvvv
Waziri wa Uchukuzi HarrisonMwakyembe akizungumza na wafanyakzi wa kampuni ya ndege ya FastJet wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani ambapo aliipongeza kampuni hiyo kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwa wasafiri.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...