Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh
Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu
huyo iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya
kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Qatar Sheikh
Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu
wa Qatar iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara
ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh
Abdullah Nasser Al Thani kwenda kwenye chumba cha mikutano baada ya
kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha kwa mazungumzo
ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21,
2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu wa Qatar , Sheikh
Abdullah Nasser Al Thani kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha
Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment