Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Mtibwa katika jimbo la Mvomero
mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM
juzi.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwahutubia wanachi wa kijiji cha Nyandila kilichopo juu ya milima ya
Uruguru mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete
CCM juzi.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akilakiwa
na wanachi wa mji wa Gairo mkoani Morogoro baada ya kuwasili, ambako
alifanya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
Post a Comment