Pages

November 2, 2014

BASI LA SIMBA MTOTO NA FUSO YAPATA AJALI NA KUSABABISHA KIFO CHA MTUA MMOJA.


Basi la Simba Mtoto baada ya ajali. 




Fuso likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Simba Mtoto.

Taswira kutoka eneo la ajali.

Muonekano wa fuso hilo. 


BASI la Simba Mtoto lenye namba za usajili T 501 BRZ lililokuwa linasafiri kutoka mkoani Tanga kwenda Dar es Salaam limegongana uso kwa uso na fuso la Mohammed Enterprises lenye namba za usajili T 507 BAE lililokuwa likitokea jijini Dar leo. 


Katika ajali hiyo, dereva wa fuso amepoteza maisha papohapo huku watu wawili ambao pia walikuwa katika fuso hilo wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali. 


Ajali hiyo imetokea katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani baada ya fuso kufeli breki.
(PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...