Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 kutoka kulia Gerald Kitabu, David Rwenyagira na Vedasto Msungu wakifurahi pamoja na wanakijiji cha Wazulu cha Lesedi walipowatembelea ili kujifunza utamaduni |
Mshindi
wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 David Rwenyagira (Radio Five) akishika ngao
kwa ajili ya kujikinga na adui ambao ni mojawapo ya utamaduni wa Wazulu.
|
Washindi
wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 wakiendelea kupata somo juu ya tamaduni
mbalimbali zinaopatikana nchini Afrika
Kusini.
|
Washindi
wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 katika picha ya pamoja na baadhi ya
wafanyakazi wa Kituo cha Utamaduni cha Lesedi, Afrika Kusini.
|
Lugha
ya Kiswahili nayo yafahamika vema Afrika Kusini kama inavyoonekana hapa katika
picha iliyopigwa na Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013.
|
No comments:
Post a Comment