Pages

September 30, 2014

Taswira za mnuso wa mkutano wa jumuiya ya Watanzania Sweden na kumkaribisha balozi Dorah Msechu

 Mama Dora Msechu Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchi za kinordic na Baltic alipokelewa kwa shangwe.
 Muziki hadi lyamba
 Wadau wakiserebuka
DJ Richie akiwa engine room
  Dj Richie na Dr Erick Kalebi wakiwajibika
 Mama Dora Msechu Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchi za kinordic na Baltic alipokelewa kwa shangwe.
 Palipendeza...
 Mbili zatosha???
 Ukumbi ukiwa nyomi
 Ngoma na nyimbo za kwetu

 Nyomi
Ukumbi umenona

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...