Pages

September 24, 2014

REDIO 5 WAANDAA HAFLA YA LISHE BORA MONDULI


SAM_0154
Mkuu wa Wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,Jowika Kasunga akifungua hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli 
SAM_0147
Meneja masoko wa Redio 5Bi.Sarah Keiya akizungumza katika hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli 


SAM_0134
Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya Monduli Zavery Benela akizungumza katika Hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli 
SAM_0144
Katibu mwenezi ambaye pia ni diwani wa kata  hiyo Isack Joseph maarufu kwa jina la kadogoo akizungumzia hafla hiyo ambapo aliwapongeza waandaaji kwa kuweza kuandaa shughuli kama hiyo ambayo itasaidia jamii kupata elimu juu ya lishe bora hali itakayopelekea wao kuepuka magonjwa mbalimbali

SAM_0108
Taswira katika halfa Hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli 
SAM_0110
SAM_0138
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo
SAM_0261 - Copy
Meneja mbunifu wa redio 5 Vicky Mwokoyo kulia,katikati  meneja biashara Angela Maina wakiwa wanamkabidhi vifaa vya upimaji magonjwa kwa mganga mkuu wa hospitali ya wilaya Monduli Zavery Benela   iliyotolewa na kampuni ya  Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha 
SAM_0129
Kulia Semio Sonyo na Yacub Simba watangazaji wa redio 5 wakiwa wanafatilia elimu juu ya lishe bora
SAM_0205 - Copy
Mkurugenzi wa Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha  Bw Robert Francis akiwa anapata vyakula vya mboga mboga kwa afya
SAM_0139
SAM_0161 - Copy
Mtafiti kutoka Horti Tengeru Silvest Samali akiwa anaongea katika hafla hiyo
SAM_0141
Wadau wakiwa wanafatilia 
SAM_0163
Afisa kilimo Arusha DC Bi.Lucy Mvungi akiwa anaelezea umuhimu wa kula mboga za majani kwa afya 
SAM_0170 
Mratibu wa lishe Bi.Aisha Msangi akiwa anatoa elimu katika hafla hiyo ambapo alisema kuwa lishe bora ni ile yenye mlo kamili kwa maana ya wanga,protini ,mafuta,vitamini na madini
SAM_0184
Hapa wadau wakiwa wanapatiwa elimu ya namna ya kutengeneza supu ya maboga
SAM_0193
SAM_0194
Mkuu wa Wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,Jowika Kasunga akiwa anapata chakula cha mboga mboga
SAM_0198
Katibu mwenezi ambaye pia ni diwani  Isack Joseph akiwa anapata keki iliyotengenezwa na mbegu za mchicha
SAM_0200
Meneja masoko wa Redio 5Bi.Sarah Keiya akiwa anafurahia chakula cha mboga mboga
SAM_0201
Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya Monduli Zavery Benela akiwa anapata chakula cha mboga mboga
SAM_0241 - Copy
Mkurugenzi wa Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha  Bw Robert Francis  akiwa na timu yake 

SAM_0210

Mwandishi wa habari gazeti la Mtanzania Elia Mbonea akifurahia chakula cha mboga mboga 
SAM_0278
Watangazaji wa kituo cha redio 5 wakiwahudumia wagonjwa ndani ya wodi 
SAM_0206
Mwaandishi muandamizi wa cnanel Ten Jamilah Omary akifurahia chakula cha mboga mboga
SAM_0216
Mmiliki wa mtandao wa kijamii wa jamiiblog Pamela Mollel akipata chakula cha mboga mboga kama lishe bora kwa afya
SAM_0283
Muonekano katika wodi ya wagonjwa hospitali ya wilaya ya Monduli mkoa Arusha(Habari picha na Pamela wa jamiiblog)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...