Pages

September 1, 2014

MWENGE WA UHURU WATINGA KWA KISHINDO MKOANI ARUSHA,KUZINDUA MIRADI YA MABILIONI YA FEDHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo(katikati)akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa mkimbiza Mwenge ,Ibrahimu,kushoto ni Kiongozi wa mbio za mwenge Kitaifa,Rachael Kassanda 

Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa,Rachael Kassanda akimkabidhi mmoja wa walimu ambao Shule zao zilipata matokeo mazuri ya darasa la saba mwaka jana,wanaoshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Karatu,Felix Ntibenda na Mkurugenzi Mtendaji,Mosses Mabula.

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kushuhudia Mwenge wa Uhuru katika Shule ya Msingi Geer ,wilayani Karatu .

Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa,Rachael Kassanda akimkabidhi moja ya Mizinga iliyotolewa na Shirika la World Vision Mwenyekiti wa kikundi cha Jitegemee yenye thamani ya Sh 6.4 milioni

Wananchi wakishuhudia Ng'ombe akitoka kwenye Josho lililozinduliwa wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru.

Mkuu wa wilaya ya Monduli,Jowika Kasunga akiwamasisha  wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nanja kuulaki Mwenge wa Uhuru.

Mwenge huoooo

Wanafunzi wa Engutoto Sekondari wilayani Monduli wakiwa na mabango ya kupinga rushwa.

Full ukakamavu

Maafisa habari wakisalimiana wakati wa kuupokea Mwenge jijini Arusha,kushoto ni Afisa Habari wa mkoa wa Arusha,Halisi Ngonyani,Prisca Libaga(Maelezo) na Nteghenjwa Hoseah(Jiji la Arusha)


Picha zote na Filbert Rweyemamu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...