Naibu
Waziri wa Fedha Nchini, Mh Mwigulu Nchemba ambae pia alikuwa Mgeni Rasmi
katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF
akifungua Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa
PPF unaoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
AICC, Jijini Arusha.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akizungumza wakati wa
Mkutano wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea
Kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC
Naibu
Waziri wa Fedha, Mh Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati wa Mkutano wa wanachama na Wadau
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea katika Ukumbi wa mikutano wa
kimataifa wa AICC, Jijini Arusha.
Mgeni
Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa
PPF ambae pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba akiwa katika
Picha ya Pamoja na Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii mara baada ya
Kufungua Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF
unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, Jijini
Arusha
Naibu
Waziri wa Fedha, Mh Mwigulu Nchemba akimpongeza Meneja Masoko na
Mahusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Lulu Mengere wakati wa mkutano
wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika
katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, Jijini Arusha
Wadau
wakifuatilia Mada katika Mkutano wa 24 Wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
AICC Jijini Arusha.
Wabunge
wa Chadema Joshua Nassari (kushoto) na Joseph Mbilinyi (Kulia)
wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa na Mkurugenzi mkuu wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF (Hayupo pichani) Mh William Erio wakati wa
mkutano wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea
Kufanyika Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Jijini Arusha
Wanachama
na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakifuatilia kwa Makini Mada
mbalimbali zinazotolewa na Viongozi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF na SSRA
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio (Wa Kwanza kushoto)
akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Makongoro
Mahanga (Katikati) wakati wa mkutano wa wanachama na wadau wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF unaoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa AICC uliopo Jijini Arusha.Picha zote na Josephat Lukaza
Arusha
No comments:
Post a Comment