Mwenyekiti
wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Anna Abdallah
akifungua Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao
wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala
ya Jinsia na Katiba iliyofanyika kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma
Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia)
akifafanua juu ya masuala mbalimbali ya kijinsia wakati Semina
iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na
Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na
Katiba iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius
Msekwa Mjini Dodoma.
Waziri
wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Sophia Simba akichangia
mada wakati Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na
Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu
masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika kwenye
Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini DodomaWajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia Semina iliyoandaliwa na Umoja
huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya
Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini DodomaWajumbe
wakiiimba kwa pamoja wimbo wa kuhamasisha wanawake kupigania haki zao
wakati wa Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao
wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala
ya Jinsia na Katiba iliyofanyika kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment