Pages

August 6, 2014

HALMASHAURI YA ARUSHA DC WAJIPANGA KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Arusha,Samuel Saning’o akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri hiyo,kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji ,Fidelis Lumato na Makamu Mwenyekiti,Anna Msuya.

Diwani wa Kata ya Olturmet Halmashauri ya wilaya ya Arusha,Noah Saputu akichangia hoja kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika  katika ukumbi wa  halmashauri hiyo eneo la Sekei.

Diwani wa Kata ya Kimnyaki,halmashauri ya wilaya ya Arusha,Wilfred Ngungat akichangia hoja kwenye kikao cha baraza la madiwani.

Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Arusha wakiwa kwenye kikao cha baraza la madiwani.

Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Arusha wakifatilia hoja  kwenye kikao cha baraza la madiwani kupanga mikakati ya maendeleo. 

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi,mkoa wa Arusha,Goodluck Ole Medeye akichangia hoja kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo,eneo la Sekei,kushoto ni Makamu Mwenyekiti,Anna Msuya
PICHA ZOTE:Filbert Rweyemamu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...