Pages

August 1, 2014

DAWA ZA KULEVYA ZENYE THAMANI YA BILION 1.8 ZILIZOKAMATWA MPAKANI TUNDUMA MWAKA 2010 ZATEKETEZWA

 

Dawa hizo a kulevya zateketezwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi.

 

 
Madawa hayo yakitumbukizwa katika tanuru la moto mkali
 
 
Raia wawili wa Afrika kusini, Vuyo Jack, na mkewe Anastazia Cloete. wanaotuhumiwa kwa kukutwa na madawa hayo Kesi yao bado inaendelea.
Credit:Mbeya yetu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...