Pages

August 21, 2014

ANGALIA PICHA ZA UZINDUZI WA SHAHADA YA KWANZA NCHINI YA UTAWALA NA DEMOKRASIA(GOVERNANCE AND DEVELOPMENT)CHUO CHA MS TCDC ARUSHA

Meneja Mafunzo wa MS TCDC,Dk Elinami Swai akisisitiza jambo

Mkuu wa wilaya ya Arumeru,Nyirembe Munasa akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari

Baadhi ya wafanyakazi wa MS TCDC, wakibadilishana mawazo

Burudani haikuwa nyuma

Wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo.


Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassari akisalimiana na Profesa Eric kutoka Denmark,katikati  ni Mkuu wa MS TCDC,Dk Suma Kaare

Mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Arumeru,Nyirembe Munasa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali,wageni waalikwa na wanafunzi wapya.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...