Wafanyakazi
wa Vodacom Tanzania wakiwasili katika kituo cha kulelea watoto yatima
cha Mwandaliwa kilichopo Bunju, jijini Dar es salaam. Vodocom
ilitemebela kituoni hapo kukakidhi hundi ya Sh. 20 kutoka Vodacom
Foundation kusaidia mradi wa ushonaji na ufugaji unaondeshwa na kituo
hicho.
Mkuu
wa Idara ya Huduma kwa Jamii wa Vodafone Laura Turkington akiwa na
watoto wanaolelewa kwenye kituo cha Mwandaliwa wakifurahia picha kupitia
simu ya mkononi ya Laura. Wafanyakazi wa Vodacom walitembelea
kituoni hapo kukakidhi hundi ya Sh. 20 kutoka Vodacom Foundation
kusaidia mradi wa ushonaji na ufugaji unaondehswa na kituo hicho
Mkuu
wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano ya Vodacom Rosalyn Mworia akigawa
vitabu vya kujifunzia mambo mbalimbali vilivyochangwa na wafanyakazi wa
Vodacom kusaidia watoto wa kituo cha yatima cha Mwandaliwa. Mbalina
vitabu na vifaa vya kuchezea, Vodacom Foundation nayo ilikabidhi Sh 20
Milioni kusaidia mradi wa ushinjai na ufugaji wa kituo hicho.
Mkurugenzi
wa Kituo cah mwandaliwa Islami cha Bunju jijini Dar es salaam Halima
Ramadhan akiipitia kwa umakini mfano wa hundi mara baada ya kukabidhiwa
na wafanyakazi wa Vodacom. Fedha hizo zimetolewa na Vodacom Foundation kusaidia mradi wa ushinjai na ufugaji wa kituo hicho.
Mmoja
wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania akiwagawia vifaa vya kuchezea watoto
wa kituo cha yatima cha Mwandaliwa vilivyotolewa na wafanyakazi wa
kampuni hiyo ikiwemo pia vitabu.
Mbali na vitu hivyo, wafanyakazi ho walikabidhi hundi ya Sh 20 Milioni
iliyotolewa na Vodacom Foundation kusiadia mradi wa ushonaji na ufugaji
kituoni hapo.
Mfanyakazi
wa Vodacom Tanzania,Monalisa Jovin akiwagawia vitabu watoto wa kituo
cha yatima cha Mwandaliwa vilivyotolewa na wafanyakazi wa kampuni hiyo
ikiwemo pia vifaa
mbalimbali vya kuchezea Mbali na vitu hivyo, wafanyakazi ho walikabidhi
hundi ya Sh 20 Milioni iliyotolewa na Vodacom Foundation kusiadia mradi
wa ushonaji na ufugaji kituoni hapo.
Mfanyakazi
wa Vodacom Tanzania Mariam Abdallah akiwafundisha kusoma baadhi ya
watoto wa kituo cha yatima cha Mwandaliwa vilivyotolewa na wafanyakazi
wa kampuni hiyo ikiwemo pia vitabu. Mbali na vitu hivyo, wafanyakazi ho
walikabidhi hundi ya Sh 20 Milioni iliyotolewa na Vodacom Foundation
kusiadia mradi wa ushonaji na ufugaji kituoni hapo.
======= ======= =======
No comments:
Post a Comment