Pages

July 4, 2014

WANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI


Baadhi ya waandihi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wanaoshirki mafunzo ya Internet kwa waandishi wa habari wa mikoani yanayotolewa na MISA Tanzania kwa kushirikiana na VIKES.
Mratibu wa Mafunzo ya Internet ,Andrew Marawiti akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo kwa makini.
Mmoja wa wakufunzi katika mafunzo hayo Seif Jigge akitoa maelezo kwa wanahabri wanaohudhuria mafunzo ya Internet  yanayofanyika katika Chuo cha Ufundi VETA mkoa wa Kilimanjaro
Baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo.
Kila mshiriki alikuwa na kazi ya kufanya kipindi chote cha mafunzo.
Baada ya kujifunza kwa muda mrefu darasa lililazimika kusimama na kunyoosha mwili kidogo.
Washiriki wakapata picha ya pamoja.
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...