Mkurugenzi wa Tan Communication
Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini
Arusha Bw Robert Francis wakati akifuturisha,hafla iliyofanyika katika
studio za redio hiyo zilizopo Njiro jijiniArusha iliyoudhuriwa na
Viongozi wa dini na wadau wengine
Sheikh Mkuu wa Bakwata mkoa wa Arusha,Shaaban Juma aliyekuwa mgeni rasmi katika halfa hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Tan Communication Media
Mbunge wa Arusha Godbless Lema wa pili kutoka kushoto naye alihudhuria halfa hiyo
Mkurugenzi wa Tan Communication
Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini
Arusha Bw Robert Francis akiwa na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema
David Lwekiza Rwenyagira ambaye pia ni mtangazaji wa kituo hicho ndiye aliyekuwa MC
Mchekeshaji kutoka nchini kenya
Peter Sankale maarufu kama “Olexander Jospat”katika igizo la VIOJA
MAHAKAMANI akitoa burudani baada ya Futari
No comments:
Post a Comment