Pages

June 10, 2014

WAJASIRIAMALI WA VIWANDA VIDOGOVIDOGO WATAKIWA KUTENGENEZE BIDHAA ZENYE UBORA

 Mkuu wa mkoa wa Arusha,Magessa Mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la wahadzabe katika uzinduzi wa maonyesho ya  Sido



Baadhi ya bidhaa za shanga zilizopo katika maonyesho ya sido
 Mkurugenzi wa Taha ,Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwa na shanga zilizopo katika viwanja vya Makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka  viwanda vidogo vidogo
 Wahazabe wakiendelea kutengenez mikuki yao

 Mkurugenzi wa Sido Taifa, Omary Bakari akihutubia waoneshaji .



 Meneja wa Sido  Mkoa wa Arusha,Isidori Kiyenze  akizungumza wakati wa maonesho hayo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...