Pages

June 9, 2014

PAPA FRANCIS AONGOZA SALA MAALUM KWAAJILI YA AMANI MASHARIKI YA KATI

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani,Pope Francis akiwangoza Marais wa Israel,Shimon Peres na Mahmoud Abbas wa Palestina kwenye Sala maalum ya kuomba amani Mashariki ya Kati

Papa Fransis(katikati) akimsikiliza Rais wa Israel ,Shimon Peres wakati wa Sala ya kuombea amani Mashariki ya Kati jana jijini Vatican,kushoto ni Rais wa Palestina,Mahamoud Abbas

Papa Fransis(kushoto) akimkaribisha Rais wa Palestina,Mahamud Abbas  kwenye Kanisa la St Peter's Vatican jana  kwaajili ya Sala ya kuombea amani Mashariki ya Kati




No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...