![]() |
| Spika wa Bunge,Dk Margaret Zziwa akiingia Bungeni |
![]() |
| Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Afrika Mashariki,ambaye ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Uganda,Shem Bagaine akizungumza bungeni |
![]() |
| Mbunge Patricia Habajakiga kutoka Rwanda akisoma mwongozo wa bunge hilo. |
![]() |
| Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki,Saoli Ole Nkanae(kushoto) kutoka Kenya,Shy-rose Bhanji na Makongoro Nyerere wakifurahia jambo wakati wa mapumziko ya vikao vya bunge hilo |
![]() |
| Mawaziri ,Maafisa wa Bunge na wabunge wakijadiliana mambo mbalimbali yanayohusiana na EAC |
![]() |
| Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania,Dk Abdallah Sadala akisoma hotuba ya bajeti ya EAC. Picha zote na Filbert Rweyemamu |










Post a Comment