Aliongeza kuwa TPA ilimteua Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu kuiwakilisha Bandari na wizara ikamteua Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu ili kuiwakilisha wizara katika maadhimisho hayo ambapo gharama za washiriki wote wawili ziligharamiwa na Bandari.
UPINZANI WASEMA SERIKALI YALAZIMISHA BANDARI KUMLIPIA WAZIRI MATUMIZI YA HOTELI
rweyemamuinfo.blogspot.com
0


Post a Comment