Home HATIMAYE WASHINDI WA MAISHA PLUS NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 WAPATIKANA NA KUONDOKA NA MILIONI 50. rweyemamuinfo.blogspot.com 4:54 PM 0 Bahati Muriga mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tzshs. Milioni 25 aliyoshinda kwa ajili ya vifaa vya kilimo. Kutoka kulia ni Babu wa kijiji, Epheta Msiga wa DMB na Mkamiti Mgawe kutoka Oxfam. Mshiriki Boniphace Meng'anyi Nyakena akipokea mfano wa hundi ya Tzshs. Milioni 25 alizoshinda katika msimu huu. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Jane Foster, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kuyandabila, Babu wa kijiji, mwakilishi kutoka Datavision International pamoja na Epheta Msiga ambaye ni afisa mradi wa Maisha Plus kutoka kampuni ya DMB. Mshindi wa Maisha Plus Boniphace Meng'anyi Nyakenaakiwa na Bahati Muriga mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 Hizi ni tuzo mbalimbali za Mama shujaa wa Chakula ambazo zilitolewa kwa washiriki wote Mkurugenzi Mtendaji wa DMB ambao pia ni waandaaji wa shindano la Maisha Plus Masoud Ally (Kipanya) akiwa anatoa Miongozo mbalimbali wakati wa Sherehe hizo za kumpata mshindi wa Maisha Plus Na mama Shujaa wa Chakula 2014 Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Tanzania Jane Foster akitoa Hotuba yake wakati wa Fainali za kumpata mshindi wa Maisha Plus na Mama shujaa wa Chakula 2014 Mgeni Rasmi katika Fainali za kumpata Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula na Maisha Plus 2014Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kuyandabila akitoa hotuba yake Mwakilishi kutoka EKEMA Hilda Mashauri wakitangaza zawadi yao ya Tsh 500,000 wakati wa Fainali za Shindano la Kumpata Mshindi wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula. Mwakilishi kutoka Forum CC Ibrahim Mhazi akitangaza zawadi yao ya Tsh 1,000,000 wakati wa Fainali za kumpata Mama Shujaa wa Chakula na Maisha Plus 2014 jana katika kijiji cha Maisha Plus Mwakilishi kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam Kitengo cha Jinsia Halima Komolanya akitangaza zawadi yao ya Tsh 500,000 wakati wa Fainali za kumpata Mshindi wa Maisha Plus na Mama shujaa wa Chakula Mwakilishi kutoka Data vision International wakitangaza zawadi yao ya Laptop moja kwa Mshindi wa pili wa Maisha Plus Mwakilishi wa Katibu Wizara ya Maendeleo, Jinsia na watoto Daniel Wambura akizungumza jambo wakati wa Fainal za Maisha kati wa Fainali za kumpata Mama Shujaa wa Chakula na Maisha Plus 2014 jana katika kijiji cha Maisha Plus. Mwakilishi kutoka Adon Lodge Mrs. Watengakiwaya akitangaza zawadi yao ya Shamba lenye ukubwa wa Heka mbili kwa ajili ya kuendeleza Kilimo. Mshindi wa Maisha Plus msimu uliopita Belenick Kimiro akitoa salam za shukurani na kuvua rasmi nafasi yake. Khadija Mwanamboka Balozi wa Mama shujaa wa chakula kutoka Oxfam akitoa salam zake na kuhimiza kilimo kwa wakulima wadogo wadogo hasa wanawake kwa kuwa inalipa Washiriki wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula wakiwa wanafuatilia kwa Makini Fainali hizoambapo kati ya hawa kulikuwa na washindi wawili Walio kaa Mstari wa Mbele ni washiriki wa Maisha Plus ambao walitolewa wakati wa hatua za mwanzoni Wageni mbalimbali waliofika kushuhudia Fainali za kumpata Mshindi wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula
Post a Comment