RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA WATANZANIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA
rweyemamuinfo.blogspot.com
0
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete
akiingia kwenye uwanja wa Uhuru kuwaongoza watanzania katika maadhinimisho ya
miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yanayofanyika kila mwaka Aprili 26 kusherehekea
muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyoasisiwa na Baba wa Taifa Mwalimu
J.K.Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume Aprili 26 mwaka 1964.
Rais
Jakaya Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru.
Rais
Jakaya Kikwete akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama
Akiendekea
kukagua vikosi
Viksoi
vya ulinzi na usalama vikiwa katika gwaride maalum
Rais
Jakaya Kikwete akirejea jukwaa kuu mara baada ya kukagua gwaride.
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Yoweri Mseveni wa Uganda katikati nI King
Mswati wa Swaziland na kushoto ni Rais Piere Nkurunzinza wa Burundi.
Rais
Jakaya KIkwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyata wa Kenya katikati ni Rais
Piere Nkurunzinza wa Burundi na kushoto ni Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo
Pinda.
Rais
Jakaya Kikwete akizungumza na Rais Uhuru Kenyata mara baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa Uhuru.
Viongozi
mbalimbali wakiwa wamesimama jukwaa kuu wakati wimbo wa taifa ukipigwa.
Marais
mbalimbali wakiwa wamekaa jukwaani
Rais
Piere Nkurunzinza akisalimiana na Rais mstaafu wa Zambia Mh. Rupia Banda wakati
wa maadhimisho hayo, katikati ni Rais Mstaafu wa Namibia Dr. Sam Nujoma.
Rais
Piere Nkurunzinza akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Mh. Mizengo Pinda kushoto ni Rais mstaafu wa Zambia Mh. Rupia Banda.
Rais
Piere Nkurunzinza akisalimiana na Rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyata mara baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru.
Rais wa
Uganda Mh. Yoeri Museveni akisalimiana na Rais mstaafu wa Namibia Dr. Sam
Nujoma
Rais wa
Malawi Mh. Mama Joyce Banda akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru kuhudhuria
maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.
Mpiganaji
Nicholas Mbaga wa TBC akiwa Live kuripoti matukio mbalimbali ya maadhimisho
hayo.
Kikosi
cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu
Rais Jakaya Kikwete.
Kikosi
cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha uwezo wake katika mapambano ya
Karatee na mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.
Sasa ni
zana za kivita
Hiki ni
Kifaru
Kifaru
cha kivita kikipita mbele ya wanahabari na wananchi waliohudhuria katika
maadhimisho hayo.
Wananchi
wakishuhudia vifaru vikipita wakati wa maadhimisho hayo.
Makombora
mazito ya kivita yakipita
Makombora
ya kutungulia ndege za adui nayo yakionyeshwa kwa wananchi.
Askari
wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru
baada ya kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani.
Askari
wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru
baada ya kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani.
Wakienda
kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Mh. Jakaya Kikwete.
Rais
Jakaya Kikwete akiwapongeza askari hao wa miamvuli mara baada ya kutua kwenye
uwanja wa Uhuru.
Vijana
wa pikipiki wakipita mbele ya Rais Jakaya kikwete
Vjana wa
halaiki wakionyesha maumbo mbalimbali yenye kuuuelezea muungano wetu wa
Tanzania
Ni
maumbo mbalimbali yaliyoonyeshwa na watoto wa halaiki wakati wa maadhimisho
hayo.
Post a Comment