Pages

April 7, 2014

HAFLA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI KELVIN MSEMWA


 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza mamia ya waombolezaji na viongozi mbalimbali wa Serikali na JWTZ katika hafla  ya kuaga mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Jeshi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Marehemu Meja Jenerali Kelvin Msemwa iliyofanyika uwanja wa makao makuu ya Jeshi, Upanga, Dar es salaam, April 6, 2014. Marehemu alifariki dunia April 3, 2014 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo. Mwili wake unasafirishwa kuelekea Songea kwa mazishi April 7, 2014
 Majenerali Wastaafu na walio kazini
 Majenerali wastaafu na walio kazini
 Jukwaa kuu
 Rais Kikwete akiwa jukwaa kuu na viongozi wengine mbalimbali
 Mama Salma Kikwete akiwa jukwaa kuu
 Sehemu ya jukwaa kuu
 Viongozi waliopata kuwa Mawaziri wa Ulinzi Profesa Philemon Sarungi na Dkt Emmanuel Nchimbi na viongozi wengie
 Viongozi wa sasa na waliostaafu
 Waombolezaji
 Kikosi kazi cha maandalizi na utekelezaji
 Mwili ukiwasili 
 Gari la mzinga likiwa limebeba mwili wa marehemu
 Maafisa waandamizi wasindikizaji wa mwili wa marehemu
 Mwili ukitelemshwa kutoka katika gari la mzinga
 Hema kuu inasimama kama ishara ya heshima kwa marehemu
 Jemedari Mkuu na viongozi wengine
 Amiri Jeshi Mkuu akielekea kutoa heshima zake za mwisho
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho
 Wakitoa pole kwa wafiwa
 Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange akielekea kutoa heshima zake za mwisho
 Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange akitoa heshima zake za mwisho
 Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange akimfariji mjane wa marehemu
 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi akielekea kutoa heshima zake za mwisho
  Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...