Pages

April 22, 2014

Baada ya kushinda tuzo na kuja kwa negative comments za watu…hiki ndicho alichoandika Wema Sepetu.


2Hata masaa 24 hayajapita tangu akabidhiwe tuzo yake ya sexiest girl tayari inaonekana ameshakutana na negative comments baada ya kushinda hiyo tuzo.
Kwenye mashindano hayo alikuwa na warembo wenzake Jokate,Lulu,Nelly Kamwelu,Jackline Wolper hatimaye alifanikiwa kushinda tuzo hiyo.
Wema ametumia ukurasa wake wa instagram kutoa yaliyo moyoni mwake na ameandika,
If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama hujapenda kasage chupa kunywa…. maana naona sasa its too much khaaaaaaaa.!
Ebu mnitue mie mtoto wa watu… And again much love to y’all dat support me… nawapenda sana…. nimemaliza…. Award yangu ndo hiiiiiiiiooooooooo…… next year tusubiri mwingine.
Nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda ni wachache wenye vijiba vyao vya roho…. Wema atabaki kuwa Wema tu… Bhaaaaas.
3
1

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...